Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya saruji ya Tanzania
Portland Cement Company Limited (TPCC), Bw. Pascal Lesoinne (wa pili kushoto)
akieleza jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara
walipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo kilichopo Wazo Hill jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Bw. Mahmoud
Mgimwa. (Na Mpiga Picha wetu)
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya saruji ya Tanzania
Portland Cement Company Limited (TPCC), Bw. Pascal Lesoinne (aliyesimama)
akieleza jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara
walipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo kilichopo Wazo Hill jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Bw. Mahmoud Mgimwa.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya saruji ya Tanzania Portland Cement Company Limited
(TPCC), Bw. Pascal Lesoinne (katikati) akieleza jambo kwa wajumbe wa Kamati ya
Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara walipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo
kilichopo Wazo Hill jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Post a Comment