Mkurugenzi
wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Tundu Lissu, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mj i wa Iringa,
katika mkutano wa hadhara wa Maraza ya Wazi ya Rasimu ya katiba mpya,
ulofanyika kwenye Uumbi wa Mwembe Togwa mjini Iringa juzi. (Picha na
Josph Senga)
Tundu Lissu akihutubia.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Iringa katika mkutano wa
hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya kujadili rasimu ya katiba mpya,
ulofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa.
Post a Comment