Basi
la Merdiani lililokuwa limetoka Rombo kwenda Dar. Limeanguka karibu na
mbwewe . Watu wamekufa. Basi limekatika siti zipo nje. Dereva bado
hajatolewa. taarifa zinasema dereva wake kafia hapo hapo na abiria
wengine pia wamefariki
NA AUDIFACE BLOG
on Sunday, August 11, 2013
Post a Comment