Home » Unlabelled » KUWA WA KWANZA KUZITAZAMA PICHA MBALIMBALI ZA SHEIKH PONDA AKIWA HOSPITALINI BAADA YA KUPIGWA RISASI JANA MOROGORO ... KUANZIA ALIVYOPOKELEWA MPAKA SASA ANAVYOENDELEA
Sheikh Ponda akiwa katika hospitali ambayo haitajwi jina lake anakoendelea na matibabu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa alipigwa risasi jana akiwa mjini Morogoro alikokuwa ahutubie kwenye mhadhara wa kidini.
Begani ni mahali ambako inaelezwa kuwa risasi hiyo ilimpata
Sheikh Ponda leo akiwa HOSPITALINI akisubiri matibabu baada ya kupigwa Risasi huko Morogoro
Post a Comment