KIJANA mmoja ambaye hajafahamika jina lake anayedaiwa kuwa ni jambazi amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali eneo la Kimara jijini Dar es Salaam. Kijana huyo akiwa na wenzake wawili waliokuwa na silaha za moto tayari kwa kwenda kufanya uhalifu lakini kabla mpango wao haujakamilika polisi waliingilia kati.
MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMANNE FEFRUARI 25, 2025
20 minutes ago
Post a Comment