
Katibu
Wa Chadema mkoa wa kinondoni na Kanda maalum ya Dar es salaam, mjumbe
wa mkutano mkuu Henry Kilewo(Kulia) na Wenzake Wanne Wameachiwa.Wamefutiwa mashitaka yote ya Ugaidi , sasa wamebakia na shitaka moja la
kudhuru mwili, dhamana itatolewa na mahakama ya wilaya Igunga
Post a Comment