Rais Jakaya Kikwete na Katibu
Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakiwa katika picha ya pamoja na
watumishi wa ofisi ya Sekretariate ya Baraza la Mawaziri ambako
watumishi wake wawili wameteuliwa kuwa manaibu Makatibu wakuu, ambao ni
Injinia Angelina Madete (kulia kwa Rais) na Mhe. Consolata Mgimba
(kushoto kwa Rais) mara baada ya kuapishwa Makatibu wakuu na Manaibu
Katibu wakuu Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa
Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu
wapya mara baada ya kuapishwa Makatibu wakuu na Manaibu Katibu wakuu
Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa
Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu wapya mara baada ya
kuapishwa Makatibu wakuu hao na Manaibu Katibu wakuu Ikulu jijini Dar es
salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa
Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue katika picha ya pamoja na Manaibu Katibu wakuu mara baada ya
kuapishwa Makatibu wakuu na Manaibu Katibu wakuu hao Ikulu jijini Dar es
salaam leo.
Post a Comment