Miss
Tanzania 2012-013, Brigette Alfred aliweka jiwe la msingi katika ujenzi
wa bweni la wavulana shule ya msingi Buhangija akiwa pamoja na afisa
elimu wa manispaa ya Shinyanga Honoratha Ruhumbika.
Miss Tanzania Brigitte Alfred akitembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa Bweni la Wanafunzi Albino.
Miss
Tanzania, Brigette Alfred pamoja na baadhi ya wanafunzi walemavu wa
ngozi wa shule ya msingi Buhangija wakinyanyua moja kati ya mabati 200
aliyoyakabidhi shuleni hapo kwa ajili ya ujenzi wa bweni la wavulana
katika shule hiyo.
Na Mwandishi wetu, Shinyanga
MREMBO
wa Tanzania, Brigitte Alfred ameonyesha mfano wa kuigwa nchini katika
tasnia hiyo baada ya kuanza ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemavu
wa ngozi (albino) katika wilaya ya Shinyanga wanaoishi katika shule
maalum ya Buhangija
Post a Comment