Waziri
wa Katiba na Sheria Mh. Chikawe akiwa katika kikao na Makamishna wa
Tume, kulia ni Kamishna Albert Msangi na kushoto ni Katibu Msaidizi wa
Tume Bi. Angela Bah
Mh. Chikawe akionesha msisitizo kwa Makamishna wa Tume alipokutana nao ofisini kwake
Waziri
wa Katiba na Sheria Mh. Mathias Chikawe akiwa na Makamishna wa Tume ya
Kurekebisha Sheria Tanzania alipokutana nao ofisini kwake, Dar es
Salaam, kulia ni Mwenyekiti wa Tume Mh.Jaji Aloysius Mujulizi
Kamishna
wa Tume Prof Sufian Bukurura (wa pili kulia) akizungumza wakati
Makamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria walipokutana na Waziri wa
Katiba na Sheria Mh. Chikawe
Post a Comment