Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KIKWETE AFUNGUA NA KUONGOZA MKUTANO WA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA

 

 
1 Mwenyekiti CCM Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma Agosti 23, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Kushoto ni Makamu mwenyekiti Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein na kulia Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana. IMG_0235
Wajumbe wa kamti Kuu ya CCM, Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda na Dr. Asha Rose Migiro  (kushoto) wakisalimiana kabla ya kufunguliwa kwa mkutano wa Kamati kuu ya CCM mjini Doma Agosti 23, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top