PICHA YA MAKTABA IKIWAONYESHA MASISTER WA JIMBO KUU LA KANISA KATOLIKI TANGA WAKIWA KATIKA IBADA MKOANI TANGA. |
HABARI nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawa Mkatoliki
ameshambuliwa na kuumizwa vibaya humo katika eneo linalodaiwa kuwa ni jirani kabisa na
alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.
Chanzo kinadai kuwa ni mbwa wa masister hao kumng'ata kuku wa majirani ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawa na kumuumiza. Chanzo:JAMIIFORUM
Post a Comment