Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu Hassan,
akifungua rasmi mkutano wa baraza la katiba la ofisi ya Makamu wa Rais
ulioanza leo Jijini Dar es Salaam, ukitarajiwa kumalizika kesho katika
Ukumbi wa Makumbusho ya Mwalimu Nyerere.
Baadhi ya watumishi
wa ofisi ya makamu wa rais na baraza la taifa la hifadhi na usimamizi
wa mazingira NEMC wakimsikiliza Waziri Samia, (hayupo pichani) wakati
alipokuwa akifungua mkutano huo wa baraza la katiba la ofisi ya makamu
wa Rais Jijini Dar leo.
Mmoja wa watumishi hao akichangia....
Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula, akiendesha kikao hicho cha
mkutano wa Baraza la Katiba la Ofisi ya Makamu wa Rais (kulia) ni Naibu
Katibu Mkuu, Ngosi Mwihava na (kushoto) ni Mkurugenzi wa Idara ya
Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais, Baraka Baraka.

Post a Comment