Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Jumuiya ya Afrika
Mashariki katika kuadhimisha Siku ya Mabunge Duniani, kuhusu suala la
Makazi. Kongamano hilo limefunguliwa leo Agosti 19, 2013 jijini Arusha.
Baadhi ya wabunge na wageni waliohudhuria ufunguzi wa Kongamano hilo leo, jijini Arusha.
Baadhi ya wabunge na wageni waliohudhuria ufunguzi wa Kongamano hilo leo, jijini Arusha
Post a Comment