Baadhi ya Madaktari kutoka Jimbo la Jiangsu Nchini China waliofika Ikulu Mjini Zanzibar,wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza na madaktari hao leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na madaktari kutoka Jimbo la Jiangsu Nchini
China waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais,madaktari hawa
wataungana na Madaaktari wazalendo katika kutoa huduma katika Hospitali
za Serikali Unguja na Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na madaktari kutoka Jimbo la
Jiangsu Nchini China waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana
na Rais,madaktari hawa wataungana na Madaaktari wazalendo katika
kutoa huduma katika Hospitali za Serikali Unguja na Pemba.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na madaktari kutoka Jimbo la Jiangsu Nchini
China waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais,madaktari hawa
wataungana na Madaaktari wazalendo katika kutoa huduma katika Hospitali
za Serikali Unguja na Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na
madaktari kutoka Jimbo la Jiangsu Nchini China waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais,madaktari hawa wataungana na Madaaktari wazalendo katika kutoa huduma katika Hospitali za Serikali Unguja na Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Post a Comment