Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Profesa Mark Mwandosya alipoenda
kumfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula kwa kufiwa
na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali
ya gari. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam
leo Agosti 19, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo alipoenda
kumfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula kwa kufiwa
na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali
ya gari. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam
leo Agosti 19, 20
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole Mama Mangula alipoenda
kuifariji familia ya Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula
kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma
kwa ajali ya gari. Kulia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe, Anne Makinda. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay
jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 20
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe
Philip Mangula na familia yake kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula,
aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Anayefuata ni Profesa
Mark Mwandosya, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana na Bw.
Ali Kikwete Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es
salaam leo Agosti 19, 20
Post a Comment