Rais
Jakaya Kikwete, akimkabidhi Hati Idhini ya Chuo Kikuu Kishiriki cha
Nelson Mandera, Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye ni Mkuu
wa Chuo hicho, wakati wa hafla ya kuvitunuku Hati Idhini Vyuo Vikuu
Vishiriki nane vya nchini vilivyotimiza vigezo. Hafla hiyo ilifanyika
kwenye Viwanja wa Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandera, akimkabidhi Hati Idhini ya
Chuo Kikuu Kishiriki cha Nelson Mandera, Makamu wake, Prof. Burton
Mwamila, wakati wa hafla ya kuvitunuku Hati Idhini Vyuo Vikuu Vishiriki
nane vya nchini vilivyotimiza vigezo. Hafla hiyo ilifanyika kwenye
Viwanja wa Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Agosti 20, 2013. Katikati ni
Rais Jakaya Kikwete, akishuhudia, na (kushoto) ni Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa.
Picha ya pamoja baada ya makabidhiano hayo.
Rais Jakaya Kikwete, akihutubia baada ya kutunuku Hati Idhini kwa Vyuo Vikuu Vishiriki nane vya nchini
vilivyotimiza vigezo, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Picha
ya pamoja kwa kumbukumbu baada ya shughuli ya kutunuku Hati Idhini kwa
Vyuo Vikuu Vishiriki nane vya nchini vilivyotimiza vigezo, wakati wa
hafla hiyo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
leo.
Post a Comment