Mbunge
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) akizungumza na Mbunge wa
Jimbo la Segerea, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.
Makongoro Mahanga, wakati wa kula futari iliyoandaliwa na Mtemvu kwa
waumini mbalimbali juzi jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema akitoa salmau za serikali wakati wa futari hiyo.
Mwenyekiti
wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida akizungumza na
wanahabari wakati wa futari ambapo alisisitiza wanachi kudumisha amani
nchini.
PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Post a Comment