Mwezeshaji
katika baraza la katiba la wabunge wanawake Tanzania Jaji Mstaafu Mhe.
Jaji Mstaafu Eusebio Munuo akiwakilisha mada kuhusu yaliyomo katika
rasimu ya katiba.
Wabunge wanawake wanaunda baraza la katika la Chama cha wabunge wanawake Tanzania (TWPG) wakifuatilia mada kwa makini
Mgeni rasmi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba Mhe. Jaji Joseph Warioba akifunga rasmi baraza la katiba la
wabunge wanawake waliokutana kujadili rasimu ya katiba ili kutoa
mapendekezo
Picha ya pamoja na Mgeni rasmi
Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge
Post a Comment