Sheikh Juma omary Poli, ambaye ni kiongozi mkuu wa Jamaat Answar Sunna
Tanzania na Mjumbe wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, akitoa
mawaidha kwa waumini wake wakati wa swala ya Idi el fitri katika
viwanja vya Jangwani Dar es Salaam
Wanawake na watoto wakiwa katika msala baada ya kuswali swala ya Idi el Fitri kwenye viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam
Waumini wa Kiislamu dhehebu la Answar Sunna wakiwa kwenye pikipiki ya magurudumu matatu wakielekea kwenye viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kuswali swala ya Idi el Fitri.
Waislamu wa dhehebu la Answar-Sunna wakiwa kwenye swala ya Idi el Fitri iliyofanyika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam
Sheikh wa Msikiti wa Ali Hassan uliopo Veterinary Temeke, Nurdin Kishiki akiongoza swala ya Idi el Fitri kwa Waislamu wa dhehebu la Answar-Sunna iliyofanyika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam jana. Waislamu wa madhehebu mengine wanaadhimisha sikukuu hiyo leo kwa taratibu za Baraza Kuu la Kiislamu Tanzania (Bakwata).

Post a Comment