Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Waung'uruma Jimbo la Hai

 


 Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe(katikati)akiwa na Mbunge wa jimbo la arusha mjini Godbless Lema(kushoto)kwenye mkutano wa hadhara jimbo la Hai Jana ikiwa ni mwanzo wa ziara  ya siku tatu ambayo inafanywa kwa helikopta kwenye Jimbo la hai ambapo mbunge wa Hai Freeman Mbowe ameambatana na wabunge zaidi ya 11 kutoka majimbo mbalimbali nchini.
 Mbunge wa jimbo la arusha mjini Godbless Lema akiunguruma kwenye mkutano wa hadhara jimbo la Hai Jana ikiwa ni mwanzo wa ziara  ya siku tatu ambayo inafanywa kwa helikopta kwenye Jimbo la hai ambapo mbunge wa Hai Freeman Mbowe ameambatana na wabunge zaidi ya 11 kutoka majimbo mbalimbali nchini.
Sehemu ya Umati mkubwa uliyojitokeza kumsikiliza Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe(hawapo pichani)akiwa na Mbunge wa jimbo la arusha mjini Godbless Lema(kushoto)kwenye mkutano wa hadhara jimbo la Hai Jana ikiwa ni mwanzo wa ziara  ya siku tatu ambayo inafanywa kwa helikopta kwenye Jimbo la hai ambapo mbunge wa Hai Freeman Mbowe ameambatana na wabunge zaidi ya 11 kutoka majimbo mbalimbali nchini.Picha na Chadema
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top