Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu
(wapili kulia), Naibu Waziri wa Kilimo wa Kilimo , Chakula na Ushirika,
Adam Malima na Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka Wanne kulia)
wakimsikiliza MagdalenaShirima, mmoja wa wahitimu wa Chuo Kikuu cha
Kilimo cha Sokoine aliyejiajiri kwa kusindika vya vya kula la kuuza.
Shirima ni mmoja kati ya wahitimu wa Chuo hicho waliojiajiri ambao
walikutana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na kuzunguza naye, Ofisini
kwake jijini Dar es slaam mwishoni mwa wiki. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
RUZUKU YA NISHATI SAFI KUWANUFAISHA WANANCHI
1 hour ago
Post a Comment