|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Balozi wa Vietnam aliyemaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Mhe Nguyen Duy Thien baada ya kuagana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuaga Balozi wa Vietnam aliyemaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Mhe Nguyen Duy Thien kulu jijini Dar es salaam leo.
|
on Saturday, August 3, 2013
Post a Comment