Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais Robert Mugabe ashinda uchaguzi wa urais kwa muhula wa saba mfululizo

robert-mugabe-2
Akiwa na miaka 89 Robert Mugabe ambaye aliingoza nchi ya Zimbabwe kupitia kwenye mdororo wa uchumi mkubwa zaidi kutokea kwenye nchi hiyo, ameshinda tena kwa mara ya saba kiti cha urais. Unaambiwa licha ya tume ya taifa ya uchaguzi kutangaza kwamba Mugabe ameshinda kwa asilimia 61, mpinzani wake mkuu Morgan Tsvangirai amekataa matokeo ya uchaguzi huo. Upande wa viti vya ubunge, chama cha ZANU PF kinachoongozwa na Mugabe kimeshinda theruthi mbili ya majimbo yote kitu ambacho kinamuongezea ngumu mugabe huko bungeni.
Nchi za magharibi zimesema kwamba wana wasi wasi kama uchaguzi huo ukukuwa wa ukweli na haki.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top