Meneja
wa tasisi ya Wazanzibari wanaoshi Canada (ZANCANA) Bishara Al-masroor
wakati alievaa mtandio mweupe akiwa na wakilishi wenziwe wakimkabidhi
msaada wa sare za wauguzi,(wamwanzo kulia) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar
Dkt. Sira Ubwa Mamboya, huko Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.

Naibu
Waziri wa Afya Zanzibar Dkt. Sira Ubwa Mamboya, akiwa na Wazanzibar
wanaoshi Canada katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi sare za
wauguzi, huko Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Post a Comment