Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WANANCHI WA WILAYA ZA KILINDI, DODOMA, RUANGWA, RUNGWE, TEMEKE NA PEMBA WATOA MAONI KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA.

 


MANISPAA
Mjumbe wa Baraza la Katika katika Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Mkoani Dodoma, Dkt. Bright Boniface Mmbaga akichangia akichangia hoja kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mkoani humo tarehe 13. Agosti, 2013.(PICHA NA TUME YA KATIBA) PEMBA
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Riziki Ngwali akimsikiliza mmoja wa Mjumbe wa Baraza la Katiba katika Baraza la Mji wa Mkoani, Pemba aliyetaka kupata ufafanuzi wa vipengele vilivyopo katika Rasimu ya Katiba Mpya wakati wa mkutano uliofanyika Pemba tarehe 21. Agosti, 2013. RUANGWA
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, wakipitia Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika Wilayani humo tarehe 21. Agosti, 2013.

RUNGWE
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya  wakiwa katika mjadala wa pamoja wa kuijadili na kuitolea maoni Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika Wilayani humo tarehe 19. Agosti, 2013. TEMEKE
Mjumbe wa Baraza lam Katiba katika Halmshauri ya Wilaya ya Temeke, Mkoani Dar es Salaam, Bi. Bi Salama Masoud akichangia hoja kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika katika Halmshauri hiyo tarehe 21. Agosti, 2013.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top