Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Vibaka Kariakoo Wachachamaa

 


_DSC1648 _DSC1671 _DSC1677
Maskini binti wa watu kapata kovu bila sababu ya msingi, enyi vibaka shauri yenu, siku zenu zakaribia

_DSC1680   
 Harakati za kujiandaa na sikukuu ya Eid. Kama unavyojua watu kariakoo huongezeka zaidi na vibaka nao hutumia mwanya huo waubize wa watu kutafuta mahitaji yao.
     Binti mmoja aliyekuwa katika pilikapilika za maandalizi ya sikukuu ya Eid Kariakoo alikutwa na mkasa baada ya kibaka mmoja kutaka kumpora begi lake la mkononi.
Binti huyo hakuwa tayari kuachia begi lake kirahisi, kitendo ambaacho kilimuudhi kibaka huyo na kumpelekea kumkata na kisu kiganjani binti huyo na kumtishia asipige kelele kwa kuwa atamfanyia kitu mbaya.
   
   Kwa ujasiri aliokuwa kuwa nao binti huyo alipiga kelele zilizopelekea wasamaria wema katika eneo hilo kumsaidia na kumtia nguvuni kibaka huyo eneo la Kariakoo kituo cha mabasi yaendayo Mbagala.
  
   Hatimaye Polisi jamii wakisaidiana na Maaskari wa Usalama barabarani walifika eneo la tukio na kumtia nguvuni kibaka huyo.
 
Picha na Juma Omari.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top