Lori la kampuni ya Ivory lenye namba za usajili T 280 ADK lililogongana na basi hilo |
Mmiliki wa Lori la Ivory akiwa kama amechanganyikiwa kwa kupiga picha kila kona la basi hilo huku abiria wakishangaa |
Abiria wa basi la Sai- Baba Express wakilitazama basi walilokuwa wakisafiria kutoka Tunduma Mbeya Kwenda Dar ambalo limepata ajali mbaya eneo la Kibwabwa barabara kuu ya Mbeya - Iringa mchana wa leo |
Post a Comment