Lori la mizigo lililogongana uso
kwa uso na basi la Al - Saedy lililokuwa likitoka Dar Es salaam kuelekea
Mkoani Dodoma jana usiku linavyofanana baada ya kugongana na basi hilo
uso kwa uso
Basi la Al Saedy linavyoonekana
mara baada ya kugongana na lori la Mizigo Maeneo ya Chalinze Mkoani
Dodoma Jana Usiku mpaka naondoka eneo la tukio idadi kamili ya
waliopoteza maisha na kujeruhiwa bado haijafahamika
Basi
la Al Saedy linavyoonekana mara baada ya kugongana na lori la Mizigo
Uso Kwa Uso jana usiku eneo la Chalinze Mkoani Dodoma idadi ya
Waliopoteza maisha wala Kujeruhiwa bado haijajulikana
Jana Majira ya Saa Nne usiku Basi
la Al Saedy linalofanya safari zake kati ya Dar Es Salaam na Dodoma
lilipata ajali mbaya kwa kugongana uso kwa uso na lori la mizigo maeneo
ya Chalinze Mkoani Dodoma , Ajali hiyo ilihusisha Basi hilo la Al Saedy
na lori la mizigo lililokuwa likitokTunaondoka eneo la tukio idadi
kamili ya waliopoteza maisha wala kujeruhiwa bado haijafahamika.
Post a Comment