Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mwanaharakati na mwanasiasa mashuhuri Ahukumiwa Jela Maisha

               


zzzzzzbo_xilai_AP577399884372_620x350_41e5c.jpg
Aliye wahi kuwa mwanaharakati na mwanasiasa mashuhuri wa China, Bo Xilai hatimaye amehukumiwa kwenda jela maisha kwa makosa ya kupokea rushwa, kutumia madaraka vibaya na kujinufaisha kibinafsi kwa kutumia mafadaraka yake ya kisiasa.
Mwanasiasa huyo kadai kesi na hukumu ni ya kupikwa juu yake ili kummaliza kisiasa na wabaya wake.
Kwa asilimia kubwa mahakama nchini China sio huru na zimekuwa na historia ndefu ya kutoa hukumu kwa shinikizo la watawala.
Bo Xilai alikuwa wakati wote akitabasamu wakati akisomewa hukumu huku akidai kuwa anaamini kuna wakati haki itachukua mkondo wake juu ya hukumu aliyopewa
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top