Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DK SHEIN AONGOZA HARAMBEE MKOA WA KUSINI KARAFUU HOTEL


Baadhi ya Wananchi na wanachama Chama cha Mapinduzi
walioalikwa katika hafla ya Harambee ya kukichangia Chama Mkoa wa
Kusini Unguja iliyofanyika jana katika Hoteli ya Karafuu,Michamvi
Wialaya ya Kati .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2221 
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini CCM Mohamed Raza
Daramsi,akiimba wimbo usemao “Mpewa hapokonyeki” wakati kikundi cha
Culture Muzicul Club kilipocharaza ala zake jana katika hafla ya
Harambee ya kuchangia Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja huko
Karafuu Hotel Michamvi Wilaya ya Kati. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_2247 
Kikundi cha Burudani kikitoa burudani katika harambee hiyo. IMG_2254 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akimkabidhi
Fedha Tasilim Shilingi za Kitanzania Milioni Moja katibu wa Kikundi
cha Culture Muzical Club Said Mwinychande,wakati wa hafla ya Harambee
ya kuchangia Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja huko Karafuu
Hotel Michamvi Wilaya ya Kati. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2268 
Mbunge wa Jimbo la Muyuni  Mahadhi Juma,(kulia)akionesha
Cheti alichokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,(katikati)kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa Benard Membe,kwa mchango wake alioutoa kwa Chama cha
Mapinduzi Mkoa wa Kusini katika hafla ya Harambee iliyofanyika jana
Karafuu Hotel Michamvi,Wilaya ya Kati (kushoto) Mkuu wa Wilaya ya Kati
Vuai Mwinyi. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2270 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akimakabidhi Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa Mkoa wa
Kusini Unguja Jafar Sanya,cheti kwa kukichangia chama cha Mapinduzi
katika hafla iliyofanyika huko Karafuu Hotel Michamvi Wilaya ya Kati,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2328 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea
fedha tasilim shingi za Kitanzania Milioni Moja kutoka kwa Mohamed
Naushad,wakati wa Hafla ya kukichangia Chama cha mapinduzi Mkoa wa
Kusini Unguja,huko katika Hoteli ya Karafuu Michamvi Wilaya ya Kati
jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2346 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mwakilishi wa Jimbo
la Magomeni  Salmin Awadh,alipokuwa akitoa kauli ya kuchangia Shilingi
Milioni Moja wakati wa Hafla ya kukichangia Chama cha mapinduzi Mkoa
wa Kusini Unguja,huko katika Hoteli ya Karafuu Michamvi Wilaya ya Kati
jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2378 
Kamanda wa UVCCM (M) Misungwi John Buyamba,akionesha
picha baada ya kuinuua kwa Shilingi Milioni Moja fedha za Kitanzania
katika hafla ya kuchangia Chama cha Mpainduzi Mkoa wa Kusini
Unguja,iliyofannyika jana Karafuu Hotel Michamvi Wilaya ya Kati,(kulia
Mkuu wa Wilaya ya Kati Vuai Mwinyi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2383 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akitoa
hutuba yake wakati wa hafla ya Harambee ya kukichangia Chama cha
Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja,huko Karafuu Hotel Michamvi Wi laya ya
Kati jana,katika hotuba yake aliwashukuru Viongozi na wananchi kwa
kuonesha moyo wao wa kujitolea katika chama. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_2418 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akiwa
katika picha ya pamoja na Kikundi cha Culture musical Club,jana baada
ya kumalizika kwa hafla ya Harambee ya kuchangia Chama cha Mapinduzi
Mkoa wa Kusini Unguja huko Karafii Hotel Michamvi Wialaya ya Kati.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top