Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HAKIMU ACHOMWA KISU MAHAKAMANI WAKATI AKITOA HUKUMU HUKO SHINYANGA

 


Hakimu wa mahakama ya Mwanzo mjini Shinyanga Mheshimwa Nyanguoa Masaba amejeruhiwa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali akiwa Mahakani akitoa hukumu.

Tukio hilo limetokea leo katika mahakama ya mwanzo mjini Shinyanga.

Hakimu huyo alijeruhiwa na mlalamikaji katika kesi ya wizi wa Baiskeli wakati akitoa hukumu.

Tukio hilo limesababisha mahakama hiyo kusimama kumnusuru hakimu huyo na kumkimbiza katika hosptali ya Mkoa kwa matibabu.

Mtuhumiwa wa tukio hilo Emmanule Zenge naye alijeruhiwa kwa kipigo na kupelekwa katika hosptali ya Mkoa.

Jeshi la polisi mkoani shinyanga limethibitisha kutokea kwa tukio hilo.


Star Tv
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top