Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam limepiga marufuku maandamano ya umoja wa vyama vya CUF, NCCR na CHADEMA siku ya Jumamosi yaliyokuwa yamepangwa kuanzia Tazara hadi Jangwani na Mwenge hadi Jangwani na sehemu mbalimbali ...
Taarifa iliyotolewa na kamanda Kova kupitia ITV imeeleza kuwa Polisi wamechunguza na kugundua kwamba maandamano hayo yataleta usumbufu kwa watu wengine na kwamba kwa kuwa lengo ni kufika Jangwani basi Viongozi wa vyama hivyo wawaambie wafuasi wao waende Jangwani bila Maandamano.
Source: ITV HABARI SAA 2 usiku
Post a Comment