Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongozana na Mhe. BernardWaziri Membe na
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula tayari
kuelekea Capitol Hill kuendelea na ziara yake nchini Marekani. Rais
Kikwete aliwasili Washington, DC leo Jumatano Sept 18, 2013 asubuhi akitokea California
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea na Halima Mamuya na H.V. Street wamiliki wa AmeriTan International ya Louisiana
Juu na chini ni Rais Dkt Jakaya Kikwete akijiandaa kuingia kwenye
gari kuelekea Capitol Hill kuendelea na ziara yake nchini Marekani
Gari lililomchukua Rais Dkt. Jakaya Kikwete likiondoka kuelekea Capitol Hill.
Post a Comment