Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana akikutana na rafiki
Deogratius Mtale yake aliyesoma nae shule ya msingi West Meru mwaka 1967
Kinana na rafiki yake huyo wamekutana leo katika kijiji cha Mwanandi
kata ya Mwamanyiri,wilaya ya Busega mkoani Simiyu.
Katibu Mkuu akishiriki kujenga ofisi ya kata ya CCM Mwamanyili.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi
wa kijiji cha Nyamatenda kata ya Shigala akiwa amesimama na balozi wa
shina namba 1 Sofia Kayenze.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisimikwa kuwa
mshauri mkuu(Mnang'oma) na wazee wa wilaya ya Busega katika eneo
alilolala Rais Julius Kambarage Nyerere katika matembezi ya kuunga mkono
Azimio la Arusha 20.02.1967
gz13:Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkabidhi pikipiki
kiongozi wa Kikundi cha Bodaboda Gasper Mabula wa kata ya Nyashimo
wilaya ya Busega ,Pikipiki mbili zimekabidhiwa ikiwa sehemu ya ahadi ya
mbunge wa Busega Dk. Titus Kimani
gz11:Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,Katibu wa NEC Itikadi
na Uenezi Nape Nnauye pamoja na balozi wa shina namba 1 Sofia Kayenze
wakila chakula cha pamoja cha asili Michembe na Karanga.Picha Zote na Adam Mzee
Post a Comment