Mkutano
wa siku tatu (3) wa Maofisa wanadhimu, Wahasibu na Maofisa Mipango wa
Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi umefungwa rasmi na Naibu Katibu Mkuu
wa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Maleme. Mkutano huo
ulifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Taaluma ya Polisi
Moshi, Mkoani Kilimanjaro. Lengo la Mkutano huo lilikuwa ni kuboresha
usimamizi wa rasilimali ili kutoa huduma bora na kupunguza malalamiko
katika jamii.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Maleme (
katika), Kamishina wa rasilimali wa Jeshi la Polisi (CP ) Clodwig
Mtweve(kulia) na Mkuu wa Chuo cha Polisi Moshi ACP Matanga
Mbushi(kushoto) wakitoka nje mara baada ya kufunga Mkutano wa siku tatu
(3) wa Maafisa wanadhimu, Maafisa mipango na Ugavi pamoja na Wahasibu
wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Chuo Cha Polisi Moshi
(MPA). Mkutano huo ulilenga kutathimini usimamizi wa Rasilimali na
kuboresha mikakati ya kuzuia ya uhalifu nchini. ( Picha na Tamimu Adam,
Jeshi la Polisi) Mhasibu
Mkuu wa Jeshi la Polisi Bw. Frank Msaki( kulia), Afisa Mnadhimu wa
Polisi Makao Makuu ,Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) Hassan Mbezi
pamoja na Afisa Mnadhimu wa kitengo cha Fedha, Kamishina Msaidizi wa
Polisi Shihango wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa
wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Maleme, hayupo katika picha
wakati wa kufunga Mkutano wa siku tatu (3) wa Maafisa wanadhimu, Maafisa
mipango na Ugavi pamoja na Wahasibu wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la
Polisi uliofanyika Chuo Cha Polisi Moshi (MPA). Mkutano huo ulilenga
kutathimini usimamizi wa Rasilimali na kuboresha mikakati ya kuzuia ya
uhalifu nchini. ( Picha na Tamimu Adam, Jeshi la Polisi) Wahasibu,
Maafisa Mipango na Ugavi pamoja na Wanadhimu wa mikoa na vikosi wa
Jeshi la Polisi wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi(hayupo pichani) Naibu
Katibu Mkuu wa wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Maleme wakati
wa kufunga Mkutano wa siku tatu (3) wa Maafisa wanadhimu, Maafisa
mipango na Ugavi pamoja na Wahasibu wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la
Polisi uliofanyika Chuo Cha Polisi Moshi (MPA). Mkutano huo ulilenga
kutathimini usimamizi wa Rasilimali na kuboresha mikakati ya kuzuia ya
uhalifu nchini. ( Picha na Tamimu Adam, Jeshi la Polisi)
Maafisa
Mipango na Ugavi, Wahasibu wa mikoa na vikosi wa Jeshi la Polisi
wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mwamini Maleme wakati wa kufunga Mkutano wa siku tatu
(3) wa Maafisa wanadhimu, Maafisa mipango na Ugavi pamoja na Wahasibu wa
Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Chuo Cha Polisi Moshi
(MPA). Mkutano huo ulilenga kutathimini usimamizi wa Rasilimali na
kuboresha mikakati ya kuzuia ya uhalifu nchini. ( Picha na Tamimu Adam,
Jeshi la Polisi)
Post a Comment