Mwenyekiti
wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akihutubia mkutano mkuu wa
chama cha Conservative Denmark tarehe 27.09.2013, jana alikutana na
Mawaziri wawili mmoja ni wa mambo ya nje na yule wa Biashara,
alizungumzia mambo mbalimbali kama ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu,
kuminya kwa uhuru wa habari na mauaji ya kisiasa yanayoendelea Tanzania akutana na wabunge wa Bunge la Denmark , ambao ni wajumbe wa kamati ya mambo ya nje ya Bunge hilo.Picha na Chadema
Loading...
Home » Unlabelled » Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe ndani ya Mkutano Mkuu wa Chama cha Conservative Denmark
Post a Comment