Muhamasishaji wa utumiaji wa
Vyakula vilivyoongezwa Virutubishi kutoka Kampuni ya Footprint Enid
Abraaham akitoa elimu ya kwa Wauguzi mbalimbali kutoka katika Wilaya ya
Kinondoni na Ilala wakati wa semina ya cha mama na mtoto iliyofanyika
katika Hosptali ya Buguruni jijini Dar es Salaam, Kampeni hiyo
inaendeshwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya
Chakula na Dawa Tanzani (TFDA)na Taasisi ya Chakula na Lishe
Tanzania(TFNC) katika Hospitali za Manispaa za Wilaya za Kinondoni
,Ilala na Temeke. ambapo mlaji anatakiwa kuhakikisha ananunua vyakula
vyenye nembo ya Virutubishi.
Muhamasishaji wa utumiaji wa
Vyakula vilivyoongezwa Virutubishi kutoka Kampuni ya Footprint Enid
Abraaham akitoa elimu kwa kitengo cha mama na mtoto katika Hosptali ya
Kinyerezi jijini Dar es Salaam, Kampeni hiyo inaendeshwa na Wizara ya
Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa Tanzani
(TFDA)na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) katika Hospitali
za Manispaa za Wilaya za Kinondoni ,Ilala na Temeke. ambapo mlaji
anatakiwa kuhakikisha ananunua vyakula vyenye nembo ya Virutubishi
Baadhi ya akina mama wajawazito
katika hospitali ya Buguruni jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa
makinini muhamasishaji wa utumiaji wa vyakula vilivyoweongezwa
Virutubishi kutoka Kampuni ya Footprint Enid Abraham .Kampeni hiyo
inaongozwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kwa ushirikiano wa
Taasisi ya Chakula na Dawa(TFDA) na Taasisi ya Chakula na Lishe
Tanzania(TFNC) katika Hospitali za Manispaa za Wilaya za Kinondoni
,Ilala na Temeke. ambapo mlaji anatakiwa kuhakikisha ananunua vyakula
vyenye nembo ya Virutubishi
Baada ya Kampeni ya kuhamasisha
ulaji wa vyakula vilivyoongezwa Virutubishi katika mikoa ya Mtwara,
Lindi, Tanga na Pwani , sasa zoezi hilo limehamia jijini Dar es Salaam
katika Hospitali za Wilaya za Kinondoni, Ilala na Temeke kwa ajiri ya
kitengo cha Mama na mtoto.Kampeni hiyo inaongozwa na Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii, kwa ushirikiano wa Taasisi ya Chakula na Dawa(TFDA) na
Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) ikiwa ni kutimiza wito wa
kuelimisha umma ,Lishe Bora ni msingi wa maendeleo yetu.
Post a Comment