Viongozi CCM DMV wakijadiliana jambo kabla ya kikao cha Faragha na
Mhe. Rais Kikwete jana Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani.
Mh.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete Mwenyekiti CCM Taifa akielekeza jambo katika
kikao chake na uongozi wa CCM DMV. Kikao hicho kilifanyika jana, jijini
Washington DC, Marekani.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akimsalimia Bwana George Sebo mwenyekiti wa CCM DMV.
Mhe.
Rais Kikwete akiwa na Bwana DMK Mkurugenzi wa MMK MEDIA GROUP: Swahili
TV, Swahili Radio na Swahilitv Blog. Picha zote na Swahili TV.
Post a Comment