Rais
wa Tanzania Dr.Jakaya Kikwete alipokutana na mpiganaji SundayShomari wa
VOA siku ya Jumatano kwenye ofisi za ubalozi washington Dc. Rais Kikwete akiwa na Katibu wa CCM-DMV Bw.KinyemiRais Kikwete akiwa na mwenyekiti wa CCM DMV George Sebo.Rais Kikwete akiwa na Dr.Mwamoyo Hamza mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOARais kikwete na Bi.Hamisa a.k.a Miss TemekeRais Kikwete akiwa na Mawinny Casey.
Rais Kikwete na mchungaji Kadjolo.
Waziri
wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania Mh. Bernard
Membe akitoa hotuba ya kuwapongeza mabalozi wa hiyari wa Tanzania. Kwa
picha zaidi ungana na Sundayshomari.com
on Friday, September 20, 2013
Post a Comment