Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA YA UFUNGUZI NA MKUTANO WA CCM ULIOFANYWA NA MWIGULU NCHEMBA DMV MAREKANI

 
 
MWIGULU NCHEMBA HAKAMATIKI HUKO MAJUU,AFUNIKA UFUNGUZI WA TAWI LA CCM CHICAGO,APAA KUELEKEA NEW YORK KWENYE MKUTANO WA WATU WAZITO ULIMWENGUNI.

CCM INAAMINI KATIKA VIJANA,MWIGULU KIJANA PEKEE KWENYE MKUTANO MKUBWA WA VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA.
CHICAGO WAPIGA MAGOTI AUTWAE URAIS NCHI,WAPINZANI WAKATWE MIDOMO NA KELELE ZAO.
Baada ya Ufunguzi wa Matawi ya CCM ndani ya jiji la CALIFORNIA NA CHICAGO ambapo shughuli zote zilimalizika kwa Mafanikio makubwa sana kichama hasa idadi kubwa ya Watanzania kuchukua kadi na kuchangia mawazo chanya kwa mstakabali wa taifa lao linaloongozwa na chama cha mapinduzi.Mh.Mwigulu Nchemba jioni ya leo(CHICAGO) napanda Ndege kuelekea NEW YORK MAREKANI kushiriki kwenye Mkutano Mkubwa wa Vyama vya Ukombozi wa Kusini Mwa Afrika unaofanyika NEw York mara baada ya kikao cha UN ambapo Rais wa Kikwete atahutubia.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top