Mkuu
wa Mkoa wa Tanga Mh. Chiku Galawa akimkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya
Kurekebisha Sheria Tanzania Mh. Jaji Aloysius Mujulizi ofisini kwake
mkoani Tanga.
Mkuu
wa mkoa wa Tanga Mh. Galawa akiangalia Kipeperushi cha Tume ya
Kurekebisha Sheria Tanzania kinachoelezea Mapitio ya Mfumo wa Utatuzi wa
Migogoro Tanzania.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. Galawa akisisitiza jambo mbele ya ujumbe wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga Mh. Galawa akiwa na ujumbe wa Tume ulioongozwa na
Mwenyekiti Mh. Jaji Mujulizi (wa pili kushoto), Katibu Mtendaji wa Tume
Bi. Winfrida B. Korosso ( wa pili kulia), Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na
Rasilimali Watu Bw. Peter Kalonga ( wa kwanza kushoto) na Katibu
Msaidizi wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa.
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Tanga Bw. Benedict Ole Kuyan akizungumza wakati
Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso alipomtembelea ofisini
kwake mkoani Tanga wakati Tume ikiwa katika Kikao chake cha Baraza la
Wafanyakazi mkoani humo, Kulia ni Katibu Msaidizi wa Tume Bi. Agnes
Mgeyekwa (Picha na Munir Shemweta- LRCT)
Post a Comment