Mkurugenzi
wa Uhussiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tannzania, Steve Kilindo
(kulia) akimkabidhi moja kati ya fulana 1000 zenye thamani ya sh.
milioni 9 , Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Mohamed
Mpinga, kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, Dar es
Salaam.
Kilindo akizungumza baada ya kukabidhi
on Thursday, September 19, 2013
Post a Comment