Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UPDATES ZA JANA USIKU ZA SHAMBULIO LA KIKAIDI LA KENYA ZILIVYOKUWA


-Milio ya risasi yasikika kutoka ndani ya jengo
-Moshi mkubwa unatoka kwa sasa
-Waliouawa wafikia 69, majeruhi 175
-Magaidi wawili wameripotiwa kuuawa leo asubuhi
-Yadaiwa magaidi wote ni wanaume

HALI ya sintofahamu imeendelea eneo la jengo la Westgate lililopo jijini Na
irobi lililovamiwa na magaidi wa Al Shabaab tangu Jumamosi mchana.
Milio ya risasi imesikika kutoka ndani ya jengo ikifuatiwa na moshi mkubwa juu ya jengo hilo lenye maduka na migahawa zaidi ya 80. Mpaka sasa hakuna taarifa kamili kuhusu kilichosababisha moshi huo mkubwa na idadi ya mateka.

Taarifa kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa, Joseph Ole Lenku, ni kwamba magaidi wawili wameuawa leo asubuhi na waliovamia jengo hilo wote ni wanaume.
 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top