Mkurugenzi
Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania, Dkt. Aloyce Nzuki, ambaye ni
katibu wa mradi wa TANAREAP akitoa maelezo kuhusiana na mradi huo katika
tafrija fupi ya uzinduzi wa filamu za kutoa elimu pamoja na kutangaza
vivutio vya utalii vya Tanzania.
Mratibu
wa TANAREAP kutoka kampuni ya Bridgearth Corporation, Mr. Kentaro
Noda akifafanua zaidi kuhusiana na ujumbe ukuyomo kwenye filamu hizo.
Kaimu Mkurugenzi wa Makumbusho ya Taifa Bi. Eliwasa E. Maro akitoa maelezo kwa
wageni waliyohudhuria tafrija hiyo jinsi ambavyo filamu hizo
zitakavyokuwa zinaonyeshwa kwa watoto katika maktaba ya watoto iliyopo
kwenye jingo la makumbusho, mtaa wa shaban Robert jijini Dar es Salaam.
Kwa
niaba ya Mwenyekiti wa Mradi wa TANAREAP, katibu wa mradi huo Dkt
Aloyce K. Nzuki akizinduwa rasmi filamu za mafuzo na kuvitanga nza
vivutio vya Utalii vya Tanzania.
Mratibu
wa Mradi wa TANAREAP, ndugu Kentano Noda akitoa ufafanuzi wa filamu
mpya kwa wageni waliyohudhuria tafrija ya uzinduzi katika ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa , jijini Dar es Salaam.
Post a Comment