Waombolezaji wakipita kuaga mwili wa aliyekuwa mzazi
mwenzake mwandishi wa habari wa ITV/Radio One, Ufoo Saro marehemu Anthery Mushi
wakati wa ibada fupi ya kuaga mwili wake iliyofanyika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili, Dar es Salaam.
Sehemu ya waombolezaji wakisikiliza kwa makini
wasifu wa aliyekuwa mzazi mwenzake mwandishi wa habari wa ITV/Radio One, Ufoo
Saro, marehemu Anthery Mushi, muda mfupi kabla ya kuagwa mwili wake katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam leo. Marehemu Anthery
alisafirishwa kuelekea Uru, Moshi kwa maziko yanaotarajiwa kufanyika kesho.
credit: Father kidevu
Post a Comment