Taarifa ambazo zimeifikia millardayo.com ni kwamba wale watuhumiwa wa
ugaidi waliokamatwa wakifanya mazoezi msituni 88.4 Mtwara, walipelekwa
Mahakamani asubuhi ya leo October 17 2013 lakini kutokana na baadhi ya
taratibu za kimahakama ikashindikana kupandishwa kizimbani kwenye
Mahakama ya Wilaya ya Mtwara hivyo wakarudishwa mahabusu mpaka hapo
itakapoamuliwa ni siku gani wapelekwe tena Mahakamani.
Mwanzoni walikua wamekamatwa 11 tu lakini taarifa nyingine zilizoifikia millardayo.com zinaamplfy kwamba idadi imeongezeka baada ya wengine wawili kukamatwa kulekule walikokamatiwa wengine ambapo hawa wawili hawakukutwa na silaha wala kingine chochote kama ilivyotokea kwa wale wa mwanzo ambao walikutwa na mapanga, silaha mbalimbali pamoja na CD za DVD ambazo zinamafunzo ya kijeshi ya Al Shabaab na Al Qaeda.
Wawili hawa wamekiri kwamba mwalimu wao kule msituni alikua akiwapa mafunzo ya aina mbalimbali ikiwemo kupiga karate, utumiaji wa silaha ambapo pia walikua wakiishi hukohuko msituni kwenye Mapango.

Endelea
kukaa karibu na millardayo.com na pia unaweza kujiunga kuwa
mwanafamilia kupitia facebook.com/millardayo twitter.com/millardayo na
instagram.com/millardayo ili kuwa wa kwanza kupata Breaking news,
matukio ya michezo, muziki, movie na mengine mbalimbali.
Hili hapa juu ndio gari lililobeba baadhi ya hao Watuhumiwa wa ugaidi.

Post a Comment