Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CCM YACHAFUA HALI YA HEWA UFUNGUZI WA MATAWI





 Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan (katikati) akiwa na wenzake  wa kwanza kushoto ni mwenyekiti wa CCM Mkoani Dar es Salaam, Ndugu Ramadhan R. Madabida na kulia ni mwenyekiti wa CCM Kinondoni ndugu Josephine A. Mwanga walipokuwa kwenye ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni.


 Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan (kushoto) akiongea na Diwani wa Kigogo, Ndugu Richard Chengula walipokuwa kwenye ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni.


Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan akiwahutubia wananchi wa Mwenge wakati wa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni.


Mbunge wa Donge, Zanzibar na Mwenyekiti wa UVCCM Tanzania ndugu Sadifa Juma Khamis akuwahutubia wananchi wakati wa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni.


Meya wa manispaa ya Kinondoni Ndugu Yusup.h Mwenda akuwahutubia wananchi wakatiwa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge leo jioni.


Baadhi ya wananchi waliofika kwenye mkutano wa ufunguzi wa matawi.


Wadau wakisikiliza hotuba


Wananchi wakisikiliza viongozi kwenye mkutano huo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top