|
Mkuu
wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma kulia akimpongeza kijana
Japhet kutoka mkoa wa Mwanza baada ya kupokelewa mjini Iringa ,
kushoro ni naibu meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Gervas
Ndaki |
|
Mmiliki
wa mtandao huu mzee wa matukio daima akimkabidhi tuzo maalum kijana
huyo baada ya kumfadhili mapokezio yake mkoa wa Iringa |
|
Ofisa wa Sumatra mkoa wa Iringa na afisa biashara wa Manispaa ya Iringa Bw Majaliwa akimpongeza kijana huyo |
|
Mapokezi ya kijana huyo mjini Iringa |
|
Naibu meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Gervas Ndaki akimpongeza kijana huyo kwa uzalendo |
Safari yake ilianzia mkoa wa Mwanza
na sasa amefunga mikoa nane kwa kumalizia mkoa wa Morogoro na malengo
yake kutembea nchi nzima hadi ifikapo mwaka 2015 awe amefikisha
ujumbe wa amani nchi nzima
Credit: matukio daima blog
on Friday, October 18, 2013
Post a Comment