Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Idara ya Maendeleo ya Vijana Wamuaga na Kumpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kumuaga na kumpongeza iliyoandaliwa na wafanyakazi hao
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel( kushoto) akipokea zawadi ya shati kutoka kwa wafanyazi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana aliyokabidhiwa kwa niaba yao na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi mapema mwishoni mwa wiki katika hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara.
 Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Tanzania Bw. James Kajugusi akifafanua jambo wakati wa hafla ya kumuaga na kumpongeza Pofesa Elisante Ole Gabriel aliyekaa ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Idara hiyo ambapo sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
 Afisa Vijana Mwandamizi Bw. Ernest Ntweneshe akitoa nasaha kwa niaba ya wafanyakazi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana mbele ya mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Hbari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabariel (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya kumuaga na kumpongeza kwa kuteuliwa kushika wadhifa huo.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel( kushoto) akigonga cheers na baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wakati wa hafla ya kumpongeza kwa kuteuliwa kwake kushika wadhifa huo. Kabla ya uteuzi huo Profesa Gabriel alikuw Mkurugenzi wa Idara hiyo.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel( waliokaa katika) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa idara ya Maendeleo ya Vijana wakati wa hafla fupi ya kumpongeza na kumuaga Profesa Gabriel ambaye awali alikuwa Mkurugenzi wa Idara hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wakifuatilia hotuba ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kumuaga na kumpongeza. Profesa Gabriel kabla ya kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu alikuwa Mkurugenzi wa Idara Maendeleo ya Vijana.Picha zote na Frank Shija – Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top