Mkuu
wa jimbo la Hai,Aminirabi Swai akiongoza ibada ya maziko katika makaburi
ya kanisa hilo na kisha kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu
Anastazia Saro.
Mkuu
wa jimbo la Hai,Aminirabi Swai akiongoza ibada ya maziko katika makaburi
ya kanisa hilo na kisha kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu
Anastazia Saro.
mwakilishi
wa serikali katika maziko ya marehemu Anastazia Saro ,mkuu wa wilaya ya
Hai Novatus Makunga akiweka shada la Maua katika kaburi.
Mtoto Alvis Anthery akiweka shada la maua katika kaburi la Bibi yake marehemu Anastazia Saro.(picha na Dixon Busagaga)
Post a Comment